Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Na wewe ni debe tupu hauna tofauti yeyote na hao viongozi wetu, unajifanya un uchungu na wananchi watz kumbe hamna lolote, sasa huo ujumbe wako umewaandikia watoto wa masaki na ostabei wasome au... manake umeandika kwa lugha ambayo wengi wetu ~ 98% hatuielewi, sasa sijui una maana gani, na tofauti ya wewe na hao wabunge unaowashtumu ni nini, manake nao ni kama wewe bungeni wanaongea kiingereza wakati wakijua wazi kuwa wananchi wao waliowachagua hawawaelewi, sasa ndugu yangu mimi sielewi nia yako ni nini hasa NAOMBBA usinielewe vibaya, mimi pia ni mmoja wa wanaharakati wa kupigania haki za watz tuliowengi ambao hatuwezi kusoma magazeti ya maana kwa maana yameandikwa kwa lugha za kigeni, na mpaka leo sielewi NI KWANINI??????????Have you ever wondered why our parliament never took time to have a lengthy and candid discussion on the purchase of the military radar ? The radar that was found tobe "wrong for the country, overpriced, and had all signs of corruption"?
As matter of fact, what you didn't hear in our own parliament due to expected political maneuvers by our Prime Minister was in fact said and discussed at the British House of Commons during the time of the purchase (late 2001) and earlier this year after allegations of corruption was officialy made that led to the beginning of an official investigation.
The following report is the compilation of the House of Commons hansards of January 30, 2007.
SPECIAL KLH RADAR REPORT
For those at home, do not miss my articles in "Tanzania Daima" and "Raia Mwema" News Papers this Wednesday.
Our new website is coming out very nice and I really look forward to put it to the public. It will be a state of the art, world class news site in the tradition of CNN and BBC. I still look forward to your continous support to make it happen and raise the standard of citizen journalism.
Have you ever wondered why our parliament never took time to have a lengthy and candid discussion on the purchase of the military radar ? The radar that was found tobe "wrong for the country, overpriced, and had all signs of corruption"?
As matter of fact, what you didn't hear in our own parliament due to expected political maneuvers by our Prime Minister was in fact said and discussed at the British House of Commons during the time of the purchase (late 2001) and earlier this year after allegations of corruption was officialy made that led to the beginning of an official investigation.
The following report is the compilation of the House of Commons hansards of January 30, 2007.
SPECIAL KLH RADAR REPORT
For those at home, do not miss my articles in "Tanzania Daima" and "Raia Mwema" News Papers this Wednesday.
Our new website is coming out very nice and I really look forward to put it to the public. It will be a state of the art, world class news site in the tradition of CNN and BBC. I still look forward to your continous support to make it happen and raise the standard of citizen journalism.
Na wewe ni debe tupu hauna tofauti yeyote na hao viongozi wetu, unajifanya un uchungu na wananchi watz kumbe hamna lolote, sasa huo ujumbe wako umewaandikia watoto wa masaki na ostabei wasome au... manake umeandika kwa lugha ambayo wengi wetu ~ 98% hatuielewi, sasa sijui una maana gani, na tofauti ya wewe na hao wabunge unaowashtumu ni nini, manake nao ni kama wewe bungeni wanaongea kiingereza wakati wakijua wazi kuwa wananchi wao waliowachagua hawawaelewi, sasa ndugu yangu mimi sielewi nia yako ni nini hasa NAOMBBA usinielewe vibaya, mimi pia ni mmoja wa wanaharakati wa kupigania haki za watz tuliowengi ambao hatuwezi kusoma magazeti ya maana kwa maana yameandikwa kwa lugha za kigeni, na mpaka leo sielewi NI KWANINI??????????

Mze hapo utakuwa unamuonea mwanakijiji, pale hujaona vitu vingi ni original hansard ya bunge la uingereza? sasa mwanakijiji ingemchukua muda gani kui-translate ile? au kuipeleka kwa mkalimani unajua mkalimani ana-charge kiasi gani kwa neno moja?
mbona sikuelewi lught ndio nini.......kweli naanza kuamini kwamba hiyo lught inaweza ikawa tabu kwako, kuanzia jina lako hadi signecha yako, ! lakini hamna neno, !!
mbona sikuelewi lught ndio nini.......
Na wewe ni debe tupu hauna tofauti yeyote na hao viongozi wetu, unajifanya un uchungu na wananchi watz kumbe hamna lolote, sasa huo ujumbe wako umewaandikia watoto wa masaki na ostabei wasome au... manake umeandika kwa lugha ambayo wengi wetu ~ 98% hatuielewi, sasa sijui una maana gani, na tofauti ya wewe na hao wabunge unaowashtumu ni nini, manake nao ni kama wewe bungeni wanaongea kiingereza wakati wakijua wazi kuwa wananchi wao waliowachagua hawawaelewi, sasa ndugu yangu mimi sielewi nia yako ni nini hasa NAOMBBA usinielewe vibaya, mimi pia ni mmoja wa wanaharakati wa kupigania haki za watz tuliowengi ambao hatuwezi kusoma magazeti ya maana kwa maana yameandikwa kwa lugha za kigeni, na mpaka leo sielewi NI KWANINI??????????
ala! kumbe unaweza kuandika kiswahili sanifu tuu, sasa tatizo lipo wapi????Mwanakijiji, kazi nzuri sana .
Kuhusu lugha iliyotumika ni sawa kabisa kwani alichofanya ni kutuwekea hansard ya bunge lwa waingererza na walikuwa wanazungumza kiingereza, na pia kutafsiri sio lazima kwani hii ni lugha ya hapa na hapa tunazo lugha mbili .
Kila mtu alipojiunga hapa alikubaliana na hilo sharti kuwa lugha zitakazotumika hapa ni mbili la sivyo kijakazi ulijiunga vipi wakati hata masharti ya KUJIUNGA YAPO KWA KIINGEREZA?
nawatakia mchana mwema nilikuwa kijiijini unguja ndio nimerudi mjini makunduchi nitaendelea kuwepo nanyi.
wewe mimi sio debe tupu, mimi ndio mpigania haki haswa wa mtz, kwa maana naelewa tatizo lilipo nikaamnisha kiini cha matatizo yetu, na nimejitolea maisha yangu ktk hili kwani naamini kabisa ukombozi wa mtz utanzia vijijini na na sio kuwatenga kama ninyi mnavyofanya humu....kwani kuna tatizo gani kuandika kiswahili mbona hujibu hilo swali???Shukrani Mzee Mwanakijiji,
tunasubiri tovuti.
Kijakazi,
Naona wewe una lako, umeanza kwa kurusha shutuma na lawama, sio ustaarabu wa Mtanzania huo, labda kama kuna linaloendelea pembeni ambalo hatulijui. Sasa kati yako na Mzee Mwanakijiji sijui debe tupu ni nani!