What most men consider to be “Wife Material”

Yani hapo kwenye number 6... Its so important to us girls.... Some of us are having that problem and we are actually not aware of it! We have to work on that.


All points Ni nzuri...kudos kwa mleta uzi
 
hiyo sifa ya kwanza ni kubwa sana. wanasema baada ya muda urembo na sex vinakinai. ndoa inabaki kushikiliwa na jinsi mnaelewana kwenye mazungumzo.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] majadiliano na Mwenye nyumba wako....!!ntakupa notisiii!!!!

tena hiyo ya motherhood 100% kabisa
Ya 1,2,3,4,7 na 10 hizo zipo aiseeehhh!!!
.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nigawie basi japo moja maana mwenzio sijaambulia hata!!
 
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…