What is your unforgettable movie?

Mkuu, inapatikana wapi hii?naihitaji kwa gharama yoyote!

hahahaa kama upo Dar nenda pale airport au Magogoni utaipata tu dada angu mbona zipo nyingi sana
 
saturday morning, a point of no return, the transporter, die another day......
 
Arsenio Hall sijui kama ana movie nyingine aliyotamba zaidi ya hii
hivi unajua hii movie was the first one for Samuel Jackson?
Mkuu Samuel alifanya his movie debut 1972 movie inaitwa Together for Days

Alafu huyu jamaa kapitia mengi sana drug addiction n.k. kuna kipindi ali-hit rock bottom na inasemekana Morgan Freeman alimsaidia sana
 
Dangerous ground by ice cube, Menace ll society, Desperado by Antonio Banderas bila kuisahau sinema ya Yesu
 
Coming to america eddie murphy, friday ice cube, and home alone.. Hizo kitu acha kabisa.
 
pearlham 1,2,3.inside man,ugly truth,you only live once,and of course VASCO DAGAMA ambayo inaendelea mpaka sasa hivi starring Jah kayaman
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…