Hii nchi ina watu wa ajabu sana. Huwezi amini mtu mwenye akili timamu anaweza kuweka uzi ushuzi kama huu.
Kwa taarifa yako tu, kama hujui tafadhali leo tambua kuwa CDM ilianzishwa kama wakala wenye lengo la kuwanufaisha wachaga... kirefu chake ni Chaga Development Mission Agency... sasa tusishangae tukiona leo hii wanakumbatia ukanda na ukabila. Wengine waliopo hapo ni hadaa wao ndiyo origino...Hii ni kwa taarifa yako!
kwanza Mnyika no Mpare,Ukabila haupo Chadema.
Mbowe - Mchagga
Slaa- Mmbulu\Mbarabaig
Baregu- Mhaya
Rwakatare- Mhaya
Mnyika-
Tumbo- Mngoni
Mtemelwa- Mndengereko
Susan Kiwanga- Mpogoro
Na wengineo wengi. Ukabila unatoka wapi we mpuuzi?
kwanza Mnyika no Mpare,
lkn wengi wengi wa Kilimanjaro umewaacha kama Mweka Hazina wao KOMMU.
Ukabila haupo Chadema.
Mbowe - Mchagga
Slaa- Mmbulu\Mbarabaig
Baregu- Mhaya
Rwakatare- Mhaya
Mnyika-
Tumbo- Mngoni
Mtemelwa- Mndengereko
Susan Kiwanga- Mpogoro
Na wengineo wengi. Ukabila unatoka wapi we mpuuzi?
Usiseme ameacha wataje we jangili
Kwa taarifa yako tu, kama hujui tafadhali leo tambua kuwa CDM ilianzishwa kama wakala wenye lengo la kuwanufaisha wachaga... kirefu chake ni Chaga Development Mission Agency... sasa tusishangae tukiona leo hii wanakumbatia ukanda na ukabila. Wengine waliopo hapo ni hadaa wao ndiyo origino...Hii ni kwa taarifa yako!
yeah,,saccos ya wachaga kwa ajili ya wachaga