Jack Ma ni billionea lakini ukimcheck kama anakula cement.
Jack Ma ni billionea lakini ukimcheck kama anakula cement.
upo kijiji gani?Tunasupply products za aina mbali mbali kwa bei ya jumla moja kwa moja kutoka viwandani kwa kutegemeana na budget yako na nk.
Kwa information zaidi unaweza wasiliana na mimi, komba@traderseasyway.com au ukatuma email moja kwa moja kwenda kwenye email ya kampuni info@traderseasyway.com
bilionea gani anaanzisha kampuni ya kitapeli tapeli na ulimwengu inaikubaliiiJack Ma ni billionea lakini ukimcheck kama anakula cement.
Tatizo la ebay imejikita sana kwenye mataifa makubwa hasa kihuduma na pia wanafanya retail business si wholesale business, uzuri wa alibaba ni international company na ni manufacturers zone, I mean Chinese and other Asian manufacturers zone.why buy from alibaba while ebay is better
Tatizo la ebay imejikita sana kwenye mataifa makubwa hasa kihuduma na pia wanafanya retail business si wholesale business, uzuri wa alibaba ni international company na ni manufacturers zone, I mean Chinese and other Asian manufacturers zone.
Tatizo la alibaba ni kuwa na suppliers ambao ni matapeli walio vamia hivi karibuni.