Cha kuongezea……..usiseme yule ni ndugu au rafiki yangu subiria shida ikupate ndio utajua.Au wakifanikiwa ndio utaelewa walikuwa ni rafiki/ndugu au kivuli kwenye maisha yako
……..Trust God,weka matumaini yako kwa Mungu binadamu anaweza kubadilika muda wowote