What have you done? Motivation, inspiration talk

Anza na kidogo kwanza kulioko kuanza na kikubwa bila kujua kama unadelop au unashuka... Ni sawa kubadili plan lakini ni vibaya kubadili lengo coz utakuwa hauna uhakika wa wapi unaenda
 
...tena utakuwa likuku lenye mdondo ndo mana umetutagia yai viza!
..kwani kiswahili hujui ama,
.shobo?
Bora kuku mwenye mdondo anajulikana kuku mwenye mdondo lakini sio binadamu anaetumia akili za kuku mwenye mdondo.
 
...basi mwenyewe unajiona una akiiiiiili!
..teh heh heh heh
Hicho ndio wewe umeona but hilo ni tatizo lako ndani ya nafsi yako kwa kuwa umenitafsiri hvyo but haiusiani na mm katika mtazamo coz n wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…