Side effects:Fafanua.
Any known side effects?
Fafanua.
Any known side effects?
Ukienda sehemu za starehe utaona vijana wanao penda sifa na kesho hawajui watakula nini,wanachupa juu ya meza.Fafanua.
Any known side effects?
Side effects ni kama za pombe zingine, maana ukinywa Jack Daniels unalewa sawa na mlevi mwingine atakaekunywa sute ya kule kwetu Sumbawanga au hata kimpumu cha kule Katavi kwa mtoto wa mkulima Mizengo Pinda. So kama wewe ni mnywaji end results yeyote ni kulewa.Kwa hiyo basi mwisho wa siku pombe ni pombe tofauti ni majina basi