Akagojiwe tena? Kwa hiki alichofanya kinatosha sanaPeleke hii taarifa central police mkuu
Wakawaibie fisiem sio miundombinu tena maneno ya masikini wakati Wala nchi wapo masakiUnataka wakale wapi na fisiem wanakula nchi huku vijana wametelekezwa
Baadhi ya askari wanaofanya patrol usiku wanalijua hili, na wakati mwingine huwanyanganya hizo shaba (wezi wanayaita maboro) na kwenda kuuza wenyewe kwa wateja wanawajua wao, na kuwaachia hao wezi.Peleke hii taarifa central police mkuu
Hata hapa imewafikiaPeleke hii taarifa central police mkuu
Eneo nililolitaja Polisi wanalijua, hao niliowataja wapo na wengine watawataja wenzao wanaoshirikiana nao ni kazi ya Polisi kulifuatilia hili ili kujua ukweli, maana niliowataja wapo na wengine wanalala kwenye mabanda ya mama lishe yaliyopo eneo hilo.Peleke hii taarifa central police mkuu
Mkuu wewe unakula wapi?.Unataka wakale wapi na fisiem wanakula nchi huku vijana wametelekezwa
Kwa mamaMkuu wewe unakula wapi?.
Barabara ya Nyerere road, reli ya kuelekea Buguruni, kituo cha Treni llala kuelekea Gongolamboto, kuna vikundi mbalimbali vya wezi hasa wa miundombinu ya Shirika la umeme Tanzania TANESCO na Shirika la mawasiliano Tanzania TTCL.
Pia wanajihusisha na wizi wa mali za raia mfano vifaa vya magari, taa, sidemirow, tairi, betri na spea nyinginezo.
Pia kuna kuvunja na kuiba mali mbalimbali, nitawataja baadhi ya vijana wanaojiusisha na huo wizi hasa huu wa miundombinu Black mdogo yaani mweusi mdogo, Rafa, Zakayo kabila Mhaya, Rafael, Zakayo na Rafa ni wataalamu wa kutegua nyaya zenye moto wa umeme, Baraka, huyu ndiye mdogo kabisa, Msambaa huyu anaishi Pugu kona, Mnyaturu, Rama kimkono, Bahati Msambaa, Muha kidari (Mussa) nitaendelea kuweka majina mengine kadri nitakavyofanya uchunguzi itaende....