Wewe zaa nitamchukua mtoto!!

mwanamke anayezaa na kumwacha mtoto naweza sem han akili sawasawa kwani huyo mwanaume aliambiwa wew ni mashine ya kutotoa tu basi..

ujue kabisa hakupendi wala hakuhitaji pia hakuthamini kama anatambua mtoto anahitaji malezi ya pande zote hawezi kukwambia zaa tu nipe mtoto nawe ukatii
 
Sisi wanawake tu ndio tunaweza kutokomeza upuuzi huu.

Tikikataa kubeba hizo mimba je watatotolesha sperm zao??

Tusijidharau na kujitwika mizigo unnecessarily.

We are not so weak.
Yaani ninahasira mpk nataka kukununulia thoda.
 
Yaani nikubali kirahisi rahisi tu? Labda unipe advance ya 20M, huchelewi kunitelekeza nibaki single maza!
 
Inatokeaga iwapo mwanamke ni mkali ila mapepe so uamuzi wa kuishi nae unaleta kizungumkuti
 
Kama shida yake ni mtt c aende orphanage huko,mm nimzalie tuu wakati mm mwenyewe hanitaki atakuwa na upungufu wa akili bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…