Wewe ni boss au 'bollz'?

mikila miwili

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2021
Posts
563
Reaction score
562
Umepambana kwa shida kuutafta utajili,wazazi wamejinyima ili ufanikiwe,,mwisho wa siku unakua tajili unaoa then mkeo ambaye hakuvuja ata jasho kwenye utajili wako anakuua anachukua mali kilaiiiini...
Hebu fikiria kama hapo ulipo na hizo mali zako mkeo kashakupa sumu na inakuua taratibu je?

Ila i smell something fishy here...kuna watu mmeshameza ndoano tayari

Anyway poleni bhana
 
Hebu usijifanye shujaa kwenye ulimwengu wa mapenzi

yalimshinda samson na nguvu zake zote
 
unaambiwa zama hizo mtu anatoka kuwinda simba akifika nyumbani anakabidhi bunduki kwa mkewe
 
Raha ya utajiri ule na mtu uliyechuma nae kwenye shida na raha, kipindi mnateseka kwenye jua alikuwa pamoja na ww kukupa matumaini na kukushika bega msonge pamoja na kesho yake mnatulia kwenye kivuli pamoja

Tofauti na hivo ukalichukua lishangingi engine imechoka wahuni washasimulia jinsi walivyomla kimasikhara kwenye uzi wa rikiboy atatumia pesa zako hizo hizo kuwa honga vijana wadogo washambulie mbususu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa,lakini mkuu umeelewa mada kwel?
 
Bado suala la kuowa kwa vijana wengi zama hizi limekuwa kizungumkuti........asilimia kubwa ya wanawake wamekuwa ni financial materials na sio wife material.......
Umeongeza nyama,chaguo ni lako. Hapo ulipo mkeo ashakumezesha ndoano au bado?
 
If you take this life too serious, you will never get out of it alive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…