Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
There is a problem when it comes to such campaigns. Even those with no wealth or have few possessions simply know that it is rather impossible for one human being to be responsible for the problems of every tom dick and harry, in this case wetangula wants to balkanize some voters with hate speech against jubilee principal. And this is a campaign strategy that sent this nation to the gates of hell in 2007/08. I wonder where those that implement the constitution against incitement are failing at the responsibility?
By wetangula making such suggestions, he still believes that voters this time do not have their thinking caps on their heads. yes we know kenyans before have been taken as fools and have been mislead to carry out on behalf of politicians selfish interests in the name of human rights.
Please address what Wetangula has said and how it amounts to hate speech.
Ardhi ilinyakuliwa na familia ya Kenyatta...that to me is not hate speech. Its just the plain truth.
Wali'nyakua' aje AT?
I saw Watengula the other day kwa Citizen at 9 na mtangazaji alipojaribu kumuuliza nayeye akasema hiyo ni fact, mtangazaji akamUuliza kama anavithibitisho, Watengula akasema wako kwa political arena na sio court...
Mkuu bht,
heshima mbele.
Inaonekana huu ukumbi hua huudhurii mijadala hapa maana nishamwaga mambo kibao kuhusu hii
ishu ya ardhi ya KE kuhodhiwa na familia teule za Kenya. Ukipata mda chungulia hii nyuzi kwa
maelezo ya undani.... https://www.jamiiforums.com/kenyan-...yemiliki-ardhi-ya-kenya-jisomee-mwenyewe.html
Kisha kumbuka Wetangula ni mwanasheria aliyebobea na hawezi kusema mambo bila mpango. Hawa vichuzi
wa TNA wanabwabwaja tu lakini wanajua wazi hamna hate speech humo ila ukweli mtupu ulosemwa. Hamna
mtu anapelekwa mahakamani hapa kwa sababu ya hate speech. Infact hii chaguzi ijayo, ishu ni ardhi ya
walalahoi...itapigiwa debe mpaka walokwiba mashamba watajuta!
Shukran.
AT asante kwa link na kwa muda wangu nitaipitia nijiridhishe mwenyewe.
Ardhi ilikuwa na bado imeendelea kuwa ishu tete sana kwenye siasa za Kenya na kuelekea uchaguzi mkuu kama ulivyosema tutajisikilizia mengi.
Nina shauku kujuzwa juu ya suala moja ambalo binafsi linanipa mkanganyiko. (lipo nje ya mada lakini tafadhali niwie radhi)
Hili linahusiana na wagombea kushinda kwenye chaguzi za mwanzo kuogombea county fulani na halafu baadae wanabadilishiwa maeneo: mfano uchaguzi wa mwanzo mgombea alishinda kwa tiketi ya chama fulani kugombea ubunge wa Ruaraka, mara chama kinampatia nafasi Kasarani badala yake!
Hili linakuaje mkuu!? Nimeona wagombea kadhaa wakilalamikia hili.
Ishu ya ardhi haitolala leo mazee.
Ngoja nikupe mfano wa Pwani ya Kenya maeneo ya Taita walokwiba mashamba.
Kuna kipande cha kama kilomita 90 hadi 100 ambapo familia ya Kenyatta imemiliki tangia
baada ya uhuru. Swali ni kwamba walipata kivipi hii ardhi? Walinunua au walinyakua?
Hii sehemu ni kuanzia Mwatate hadi Taveta (mpakani na Bongo)...yaani kama unaenda na
basi unashangaa maana kila ukiuliza unambiwa bado basi linapitia shamba la Kenyatta!
Ukitizama sehemu yenyewe ni kabila la wataita ambao walifukuzwa kitambo na wamebaki
kua maskwata. Kenyatta mwenyewe ni mkikuyu...mbona asimiliki ardhi huko kwao? Nd'o swali
watu wanauliza.
Kuhusu swali lako la pili, nadhani hio ni ishu ya chama husika maana hizi nominations kila mtu
ameboronga kivyaketu! Kuna nyuzi nimeanzisha humu ndani inahusika na hii ishu ulouliza.
Hii hapa... https://www.jamiiforums.com/kenyan-politics/391352-nominations-rot-exposed-at-tribunal.html
Ipitie ukipata mda.
Shukran.
iwe kihalali basi na si kwa kukwapua kwa kupitia madaraka na utafiti unasema less than 10% of land owned by Kenyattas is under use the rest i.e. 90% lays idleHapo kwa red umeenda below the line.
Kenyatta ni ni mkenya, ana weza miliki ardhi mahala popote mie ndo mtazamo wangu binafsi. Na ukiona mtu ana shamba kubwa hiyo haikupi ticketi ya moja kwa moja kwamba jamaa alinyakua. Ni sawa sawa na uone bilionea wa mabilionea umuone na uanze kuhoji kwamba jamaa ni jambazi kwa sababu ni bilionea. Yawezekana wakati wengine wanawekeza ktk biashara na mifugo kenyatta yeye aliwekeza ktk ardhi. Labda kama wakati huo kulikuwa na sheria inayokataza kumiliki ardhi kubwa namna hiyo basi hapo tutaanza kuhoji, ama kama kuna watu wanamiminika kwa wingi kwamba wana haki miliki ya mashamba hayo na walinyanganywa kwa nguvu.
Kuna rafiki yetu ambaye amezama, sijui alikokwenda.. livefire atwambie huyu bana kamaanisha nini kwa kutmuia neno "rishwa"
Kabaridi,
Hehe...our brother wetangula must have been really courageous to leggo of such utterances; as per the verbatim "rishwa"...your guess is as good as mine. Demonic exorcism with a shrubbing effect, hehe.
Pardon me for the late reply, had a total recall elsewhere.