MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,703
- 48,517
Nimeona kuna kobe inashangilia kuwa USA yupo upande wao
Kwenye shule za Tz huwa wanafundishwa kuwa USA anachoangaria huwa ni maslahi yake tu mfano ni Ukraine walinyanganywa jimbo na USA akakosa cha kufanya
Duh! Ndio maana huwa mna chuki kiasi cha kufa mtu, kumbe mnafundishwa shuleni moja kwa moja....
Kuna siku nilikua nawaza na kukosa jibu, yaani nikitembelea maeneo Tanzania, nikikuta watoto wanacheza, wote wanaacha shughuli wananiamkia shikamoo, yaani heshima ya juu sana, sasa kitu kilichokua kinanishangaza, ikiwa mnafundishwa heshima kihivyo tangu mkiwa wadogo, hii chuki ambayo imekolea kwenu hutoka wapi ukubwani.
Kumbe ni kitu kipo kwenye mtaala kabisa, mnafundishwa humo humo.