Habari ya muda huu wana jukwaa. Nimejaribu kulinganisha sebene za wasanii mbalimbali hasa kutoka DRC nikaona werrason sebene zake zinakimbiza ile mbaya, mfano Kata fumbwa, mipende na mzigo unaosumbua hivi sasa block cadena.
sebene zake zina mvuto flani amazing halafu kwenye block cadena ametokelezea traditionally na kufanya muziki wake uwe wa kiafrika zaidi.
Vile vile kuna wakali wengine ambao wanasumbua kwa sebene mfano Koffi Olomide na Bebi Phillip wa Cote d'ivoire.
Alienda kwa fere gola. Sina hakika yuko wap kwa sasa. Nitatuma clip akiwa na fere na amekua kuaKuna kijana mmoja hivi alikuwa anapromotiwa na werrason sana anaitwa shikito hivi yuko wapi kwa anayefaham
yaani halafu ngoma imetulia mno
mimi wakisemaga sheri [emoji23][emoji23][emoji23] wananiua kabisaHaf iko simple wala hakutumia nguvu kuimba
Oh ok ni lazima atakuwa kakuwa sasa maana kipind nilipomuona ni miaka 10 iliyopita sasaAlienda kwa fere gola. Sina hakika yuko wap kwa sasa. Nitatuma clip akiwa na fere na amekua kua
Habari ya muda huu wana jukwaa. Nimejaribu kulinganisha sebene za wasanii mbalimbali hasa kutoka DRC nikaona werrason sebene zake zinakimbiza ile mbaya, mfano Kata fumbwa, mipende na mzigo unaosumbua hivi sasa block cadena.
sebene zake zina mvuto flani amazing halafu kwenye block cadena ametokelezea traditionally na kufanya muziki wake uwe wa kiafrika zaidi.
Vile vile kuna wakali wengine ambao wanasumbua kwa sebene mfano Koffi Olomide na Bebi Phillip wa Cote d'ivoire.
Ushaupata ama bado?wekeni basi wimbo wake tudownload... sio videos
badoUshaupata ama bado?
Tumia peggo kudownload au vidmatebado
naona uvivu nataka muweke hapaTumia peggo kudownload au vidmate
Sawa ngoja nijaribu kama nitaweza kuitupia hapa maana hizi simu za kichina ubongo wake mdogonaona uvivu nataka muweke hapa
Shikito bele(kijana) alikuw ni kama nephew wake, sema dogo akaota mapembe . ana bendi yake nowKuna kijana mmoja hivi alikuwa anapromotiwa na werrason sana anaitwa shikito hivi yuko wapi kwa anayefaham
Lugha ile ina maneno matam flan hivi ya kimapenzi .......mimi wakisemaga sheri [emoji23][emoji23][emoji23] wananiua kabisa
napenda sana muziki wa dance
Jamaa utampenda anavyo ijaza ZENITH ni wachache sana huweza kuamsha popo paleePia ni bingwa wa live show. No doubt on that
hahahaha wacongo watu wa mapenzi tuLugha ile ina maneno matam flan hivi ya kimapenzi .......