Kweli mkuu...Maharage noma sana...Umesahau walishanunua hadi penet 3, hyo rekodi ya dunia sjawai ona ndani ya dk90, wakamwonga mwamuzi gem ya october3 akakataa goli la wazi la yanga na kumtoa nje msuva
Jamaa hawa wamezoea sana aiseeee.................Umesahau na yule Mshika kibendera waliyemjaza manoti akawa anaua move zote za kina Kavumbagu na Bahanuzi kwa offside kwenye ile game ya tarehe 3 hadi wakaishia kuadhibiwa.
Toa ulichonacho mkuu,usiogope........mmmmhhhh vitu kama hivi unaishia kusepa tu like a viewer..
Kama mchezi mliouzoea kupata matokea mazuri nje ya uwanja:
1.Mlimpa Mwakingwe rushua Kado akawaumbua
2.Mkawapa Miembeni kombe la Mapinduzi wakaachia,Bausi kalalamika kajiuzulu.
3.Mkampa Mwamanda akaachia mwaka uleee...
4.Mkampigia Kasambale avute,akasema uongozini
5.Mmewashikisha Azam mkawaponza, wako kijiweni wanacheza ndondo.
Sisi twashinda kihalali natuko juuuuuuuuu...............
umesahau wakataka kumshikisha mlokole berko akachomoa akakata kurudi baada ya mapumziko
Yanga V RedSea (kagame 2011). Hayo 2
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums