Wenzetu sajiliini dirisha dogo msisahahau na mshiko wa marefa raundi ya 2

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
28,903
10,534
Kama mchezi mliouzoea kupata matokea mazuri nje ya uwanja:
1.Mlimpa Mwakingwe rushua Kado akawaumbua
2.Mkawapa Miembeni kombe la Mapinduzi wakaachia,Bausi kalalamika kajiuzulu.
3.Mkampa Mwamanda akaachia mwaka uleee...
4.Mkampigia Kasambale avute,akasema uongozini
5.Mmewashikisha Azam mkawaponza, wako kijiweni wanacheza ndondo.

Sisi twashinda kihalali natuko juuuuuuuuu...............
 
Umesahau walishanunua hadi penet 3, hyo rekodi ya dunia sjawai ona ndani ya dk90, wakamwonga mwamuzi gem ya october3 akakataa goli la wazi la yanga na kumtoa nje msuva
 
Umesahau na yule Mshika kibendera waliyemjaza manoti akawa anaua move zote za kina Kavumbagu na Bahanuzi kwa offside kwenye ile game ya tarehe 3 hadi wakaishia kuadhibiwa.
 
Kweli mkuu...Maharage noma sana...
 
Umesahau na yule Mshika kibendera waliyemjaza manoti akawa anaua move zote za kina Kavumbagu na Bahanuzi kwa offside kwenye ile game ya tarehe 3 hadi wakaishia kuadhibiwa.
Jamaa hawa wamezoea sana aiseeee.................
 
Yanga V RedSea (kagame 2011). Hayo 2

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Chezea FOS Weyee! Hapa kuna mhaini kule kuna al shabab hapo kuna kaburu botha mtalala tu hata goli la mkono weka kati hawa jamaa wanasifa hii siku nyingi ndio maana laana inawatesa hata pesa ya rambirambi inawatoa nishai
 
Kama mchezi mliouzoea kupata matokea mazuri nje ya uwanja:
1.Mlimpa Mwakingwe rushua Kado akawaumbua
2.Mkawapa Miembeni kombe la Mapinduzi wakaachia,Bausi kalalamika kajiuzulu.
3.Mkampa Mwamanda akaachia mwaka uleee...
4.Mkampigia Kasambale avute,akasema uongozini
5.Mmewashikisha Azam mkawaponza, wako kijiweni wanacheza ndondo.

Sisi twashinda kihalali natuko juuuuuuuuu...............

umesahau wakataka kumshikisha mlokole berko akachomoa akakata kurudi baada ya mapumziko
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom