livinstonne Member Nov 25, 2010 33 3 Nov 25, 2010 #1 Wenye nyumba nabisha hodi rasmi leo baada ya kuwa guest kwa long time now. Naombeni mnipokee na kama chakula kipo mnipe nile....asanteni
Wenye nyumba nabisha hodi rasmi leo baada ya kuwa guest kwa long time now. Naombeni mnipokee na kama chakula kipo mnipe nile....asanteni
Ehud JF-Expert Member Feb 12, 2008 2,685 337 Nov 25, 2010 #2 Karibu lakini mbona umeingia kiivyo hiyo avatar yako ndio inafanya nini? Naona kama honda anam-do nissan au? Kwani una ugomvi na nissan?
Karibu lakini mbona umeingia kiivyo hiyo avatar yako ndio inafanya nini? Naona kama honda anam-do nissan au? Kwani una ugomvi na nissan?
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,215 Nov 25, 2010 #3 karibu sana sana muheshimiwa:A S crown-1:
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Nov 25, 2010 #4 hmethod said: Karibu lakini mbona umeingia kiivyo hiyo avatar yako ndio inafanya nini? Naona kama honda anam-do nissan au? Kwani una ugomvi na nissan? Click to expand... Ahahahaaaaah hii avatar iliwahi kuwepo hapa na ilizusha mjadala mkubwa sana.
hmethod said: Karibu lakini mbona umeingia kiivyo hiyo avatar yako ndio inafanya nini? Naona kama honda anam-do nissan au? Kwani una ugomvi na nissan? Click to expand... Ahahahaaaaah hii avatar iliwahi kuwepo hapa na ilizusha mjadala mkubwa sana.