hoter.one5
Member
- Sep 9, 2013
- 44
- 95
kama unacho hicho cheti ndicho kinachotambulika crb kama mtaalam wa kampuni na kupewa usajili bila mtu mwenye cheti kama hicho kampuni haiwezi kupata usajili hivyo basi wewe unacheti yeye anamtaji hapo mtafanya kazi kwa pamoja na kila mmoja anakuwa huru kutumia kampuni kuombea kaziHii inakuwaje kuwaje, hebu nifafanulie kidogo
Hv hz kozi zinatolewa lini... maana naona mara ya mwisho MUST walikuwa Dodoma mwaka janakama unacho hicho cheti ndicho kinachotambulika crb kama mtaalam wa kampuni na kupewa usajili bila mtu mwenye cheti kama hicho kampuni haiwezi kupata usajili hivyo basi wewe unacheti yeye anamtaji hapo mtafanya kazi kwa pamoja na kila mmoja anakuwa huru kutumia kampuni kuombea kazi
Kumbe mnaweza kuomba kazi nyingi kwa wakati mmoja? Kama ndo hvo basi imekaa poa sana hyo....kama unacho hicho cheti ndicho kinachotambulika crb kama mtaalam wa kampuni na kupewa usajili bila mtu mwenye cheti kama hicho kampuni haiwezi kupata usajili hivyo basi wewe unacheti yeye anamtaji hapo mtafanya kazi kwa pamoja na kila mmoja anakuwa huru kutumia kampuni kuombea kazi
KOZI HIZI HAWATOI MUST PEKEE KUNA ATTI -MBEYA KULE RUNGWE,MUST,ICoT-MBEYA,NA UJENZI-MORO na kwasasa kuna kozi zinatarajia kuanza mwezi nov 2023 ukitaka nikupe fomu njoo whtsp +255626402722 bureHv hz kozi zinatolewa lini... maana naona mara ya mwisho MUST walikuwa Dodoma mwaka jana
ndiyoKumbe mnaweza kuomba kazi nyingi kwa wakati mmoja? Kama ndo hvo basi imekaa poa sana hyo....
KOZI HIZI HAWATOI MUST PEKEE KUNA ATTI -MBEYA KULE RUNGWE,MUST,ICoT-MBEYA,NA UJENZI-MORO na kwasasa kuna kozi zinatarajia kuanza mwezi nov 2023 ukitaka nikupe fomu njoo whtsp +255626402722 bure
Mkuu nimekudm naomba hyo form mkuu...KOZI HIZI HAWATOI MUST PEKEE KUNA ATTI -MBEYA KULE RUNGWE,MUST,ICoT-MBEYA,NA UJENZI-MORO na kwasasa kuna kozi zinatarajia kuanza mwezi nov 2023 ukitaka nikupe fomu njoo whtsp +255626402722 bure
uwe na experience ya kufanya kazi kwenye mambo ya ujenziKusoma hiyo kozi lazima mtu awe na vigezo gani?
STD VIIKusoma hiyo kozi lazima mtu awe na vigezo gani?
Hapana wao ndo wanaokupa mafunzo hayouwe na experience ya kufanya kazi kwenye mambo ya ujenzi
Hapana wao ndo wanaokupa mafunzo hayo
HIZO NI SHORT KOZI ZA WIKI NNE NA MIEZI MIWILI NA UNALIPIA ADA HIVYO WEWE MUHITAJI UNAOMBA UKIHITAJIWanakupa mafunzo bila kuomba?na matumizi ya hicho cheti yakoje?