Wenye vitumbo pitieni makavu yenu

Kuna wenye vitambi, kuna wasionavyo. Wew angalia anaekufaa. Wengine tunapenda wenye vitambi... Kwa hiyo fanya mambo yako acha umbea
Ni vizuri kufarijiana kama hivi
Lakini ukweli ni kwamba kitambi hakijawahi kumpendeza mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…