Ukifika muda utavijua tu hivyo vigezo vya kuzingatia !!!
1) Vigezo unavyovitaka atakuwa navyo baadhi, hawezi kuwa navyo vyoote bse hujamuumba ww.
2) Atakuwa na tabia zinazovumilika.
Binadamu hatutabiliki na nivigumu sana kujua tabia ya mtu pindi utakapoanzanae mahusiano coz wengine huwa they just pretend tu kama wanatabia nzuri lakini ukishamuoa tu utajuta kwa hiyo mitabia yake.
Habari zenu wanajamvi.
Me ni kijana wa kiume,bado sijaoa. Huwa najiuliza sana,nitatumia vigezo gani ili kumjua kuwa mwenza huyu atanifaa...nini cha kuzingatia kwa umakini ili kuwa na ndoa yenye amani,upendo na furaha?
Karibuni wenye uzoefu ktk ndoa zenu mtupe siri ya mafanikio yenu!
aksante...vp suala la kuridhishana kimahaba,je,ni chanzo cha ndoa kudumu?
Una mpenzi?
Tunatofautiana ktk kuridhika baina ya wanandoa, cha msingi ni kuelimishana akuridhishe vp, na kukubali mapungufu ya mwenzako.
Kama unaye mpenzi sasa tunaweza kuendelea.Ndiyo ninaye...
Kama unaye mpenzi sasa tunaweza kuendelea.
Kila mtu huwa na vigezo vyake vya kumpata yule atakaye mfaa.
Mfano mimi napenda mwanamke anayemcha MUNGU, aliye serious muda mwingi, asiyependelea kuvaa nguo za aibu, asiye na makuu, anayependa kwenda na muda, mwenye talent za maisha.
kila jambo linaenda kwa hatua na umri, umri wako ungekuwa na maana kama ungeusema ili ijulikane ushauri upi utakufaa, isije kuwa ukapewa mihogo wakati stahili yako ni maziwa ya mama.
Nina miaka 25...
Ikiwa baba yako na mama yako hawajaachana au kutengana na unahisi maisha yao ni ya furaha tafuta mwanamke mwenye tabia kama za mama yako.