Kuna route ambayo bado kurasmishwa ya kutoka Mbezi stand mpya hadi Mpiji Magoye.
Ni mwendo wa kama km 8 au 9 ( dakika kama 15 ).
Barabara sio lami lakini ni nzuri hata kama gari yako ni mpya.
Ni mwendo mfupi sana, barabara nzuri kwa nauli kubwa, fursa hiyo.
Dili kwa sababu kuna gari chache chakavu (mikangafu) zinaoperate route hiyo kwa nauli ya TShs 500 !
Ni ka mwendo kafupi kwa nauli ya TShs 500, what a boom !
Abiria ni wengi sana na huwa wanapanda kwa foleni na wanaoshindwa kusubiri hutumia pikipiki.
Haya Wajasiriamali Fursa Hiyo !