Naona wenye chuki na udsm hahahahUdsm zamani ndugu. Tena wakati hakuna vyuo vingine. Tunawaona huku kwenye kazi. Hakuna tofauti, ni wahitimu wale wale. Wanaofikiri udsm ni that unique waache ulevi wasome kwa bidii. Wasome waache siasa
Sina haja ya kuwa na chuko ndugu. Nimeshauri tu. Tulisoma hukohuko na sasa tupo mtaani tunaona. Kuna watu tunawachukua kutoka vyuo vichanga wanafanya wonders. Kila mmoja apambane bila kujali yupo chuo gani. Sina haja ya kuwa na wivu, nilishatoka kwenye hiyo level siku nyingi sana.Naona wenye chuki na udsm hahahah
Kama unajidanganya kwa jina sawa. Kwa taarifa tu ni kuwa vyuo kama MZUMBE wanafundisha kazi co theories. Iv mtu anaesoma sociology UDSM ni sawa na mtu anayesoma social work pale kijitonyama? Mtu anaesoma PSPA ya udsm ni sawa na wa HRM wa MZUMBE? We kaa na jina lako utashangaa unatoka na GPA ya 3.0 wenzako wana kubwa . UDSM inaharibu future za watuNdoto za kufika Udsm kwa wanafunzi wa form Six huwa ni zaid ya asilia 98 kwa wanafunzi wote hizo asilimia 2 zilizobaki ni wale wanafuzi amabao hutarajia kusomea Mambo ya Kilimo na ufugaji kwa Sua na Udaktari kwa Muhimbili,,
Chaajabu wengi wao huaza kukichukia Udsm baada ya usahili kupita ni baada ya kukosa nafasi...
Kwa waliochaguliwa Udsm hongerini na wale Waliotemwa na hali waliomba polen na msijenge chuki kama weng waliokuwaga kabla yenu mana HAKA KAMCHEZO HAKAHITAJI HASIRA NA UDSM HAIJAWAHI ACHA MTU SALAMA... maksi zako ndo zingekufikisha udsm ila pole.
Mliochaguliwa udsm mkija msome na mpunguze sifa sio kuja ku ning'iniza kamba zilizo andikwa UDSM STUDENT had kariakoo
Sina haja ya kuwa na chuko ndugu. Nimeshauri tu. Tulisoma hukohuko na sasa tupo mtaani tunaona. Kuna watu tunawachukua kutoka vyuo vichanga wanafanya wonders. Kila mmoja apambane bila kujali yupo chuo gani. Sina haja ya kuwa na wivu, nilishatoka kwenye hiyo level siku nyingi sana.