Katika uendeshaji wa timu wa muda mrefu na sio kutaka mafanikio ya haraka haraka na kuua timu, kocha anayefaa kuigwa ni Arsene Wenger...,
Mashabiki wa Arsenal inabidi wafikilie sana wanachokitaka (kununua wachezaji wengi wenye wage bill kubwa) itakayopelekea Timu kufilisika au kutumia pesa na kununua wachezaji kutokana na Income ya Timu ili kujenga timu kwa muda mrefu..
Sio vema kulinganisha na Manchester United (ambao uwanja wao ni 75,0000 capacity na unajaa kila wiki) au Chelsea na Manchester City; ambao siku wafadhili wao wakiamua kwenda sehemu nyingine:lying: au wakiaga dunia na timu itabidi ipige mnada kila mchezaji kama sio kwenda under administration.., wala sio vema kulinganisha na Real Madrid timu ambayo ipo kwenye madeni lakini City Council yao ina-wabail out kila wakati.
Pia tukumbuke kuna team kama Rangers (kwa matumizi mabaya ya pesa kuliko maingizo walijikuta wanashushwa daraja na kuwa under administration) the same applies to Leeds, Portsmouth, n.k.
Kwahio wakuu the way English football inavyokwenda mishahara ya wachezaji haiendani na mapato.., na hili bila kushughulikiwa huenda likawa chanzo cha kuua soka..
Namalizia kwa kuweka Top Ten Paying Clubs in the world (niliyoitoa kwenye tovuti ya BBC)
Top 10 clubs paying average wage per player
- Manchester City (PL) £5.337m
- NY Yankees (MLB) £5.286m
- LA Dodgers (MLB) £5.119m
- Real Madrid (La Liga) £4.993m
- Barcelona (La Liga) £4.901m
- Brooklyn Nets (NBA) £4.485m
- Bayern Munich (Bundesliga) £4.402m
- Manchester United (PL) £4.322m
- Chicago Bulls (NBA) £3.985m
- Chelsea (PL) £3.984m
Mkuu unapotosha umma:
1. Roman Abromavich si mfadhili wa Chelsea; badala yake ni mmiliki.
Kuna tofauti kati ya mfadhili na mmiliki. Mmiliki hawezi kukubali kupata hasarak wa sababu anamiliki timu ili ipate faida.
Soma uelewe ninachokisema Wenger's way ya kulipa mishahara na kununua wachezaji kulingana na kipato cha timu na maingizo ya pesa ndio right way.., kwahio ku-break the Bank na kuongeza madeni ndio yanayotokea sasa Europe.., Hivi unajua kabla ya Roman kuja Chelsea ilikuwa kwenye financial mishaps gani hadi ikauzwa.., aliyenunua kwa pound moja Ken Bates 1982 alinunua na madeni ya 1.5m pounds na baada ya hapo kuongezeka lukuki ndio Roman kaamua ni kama kuikopa Chelsea na kuwalipia..., Kutokana na ushindani na mshinikizo wa mashabiki Timu zinanunua kuliko ndio maana nikatoa mifano ya Rangers.., pia kutumia pesa nyingi sio guarantee ya ushindi wowote2. Kuogopa kupata hasara ni fikra mgando ambazo zimewafanya mshindwe kufanya vizuri kwenye mashindano mbalimbali.
Mshahara anaoliopwa mtu unategemea contract aliyosaini, je alinunuliwa kiasi gani na kina nani wengine wanamtaka ?, ndio maana Sol Campbell Arsenal ilimlipa 100k kwa wiki (ila sababu ni kwamba alitoka Spurs bure); Kumbuka Wenger kitu anachotaka sio kuanza kumlipa mmoja kila anayekuja anataka zaidi, ilitokea kwa Chelsea baada ya kumpa Michael Barrack pesa nyingi contract ya Terry na Lampard zilivyokuja kila mtu alipata zaidi...3. Nikuulize swali moja, si ugomvi tunajenga hoja tu. ni sawa mshambuliaji tegemeo wa timu yako kupata mshahara wa paundi 60,000 kwa wiki na unagemea ubingwa?
4. Anachofanya Wenger na wenzake pale Arsenal Fc ni ubahili na uwoga wa maendeleo..
Ni sawa na mtu anayeogopa kununua gari kwa sababu anaogopa ajali..
The largest shareholder on the Arsenal board is American sports tycoon Stan Kroenke, who launched a bid for the club in 2007,[SUP][77][/SUP] and in November 2009 increased his holding to 18,594 shares (29.9%).
What's the point here.. ?; I seem to miss one.
chanzo cha matatizo yenu..ukosefu wa makombe..