Wema Sepetu - video juu ya stage! Aha!!

Welll I think it is enough...... Kwani wema ni nani vile maana kila thread naona wema wema.... What kind of animal is Wema???
 
Ni binadamu aliyepungukiwa cortex kwenye ubongo wake na kufanana na Chimp!!!!!!!!!!!
 
Mimi niona kama kuna mapungufu fulani katika hili, nikikumbuka historia ya Homo Africanus, Homo Habilis, Homo Eractus......Homo sapiens. Naona kuna mapungufu kidogo either atakuwa level nyingine ambayo haipo either below or above this. Yaani mtu akikunyima au ukipunguza kiwango cha aibu to zero level then utaishia kufanya ujinga kama aliofanya mwenzenu..
 
mbona wanaimba kawaida tuu...ukiondoa hiyo style ya kushika shika kimini mi wala sioni chochote cha ajabu...
 
nyimbo waliyo perform nayo naipenda sana
 
Ati mwenzetu?! Labda mwenzako wewe
 


Biashara matangazo alafu nasikia ni cheap sana huyu dada buku 5 tu unajibebea imradi uwe na jina mjini
 


Huyu ndie alikuwa miss TZ dah paja limesha tepeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…