Kumbe wema bado yupo kwao, nilikuwa sijuiSI TATIZOOOO, NDO MAANA NIMESIFIA NI MAMBA YETUUU WANAWAKE KWENYE KUZAAA. Aongeze hata 10, nchi huru hiii lakini sio kumsakama binti mdogo, hajaolewa yupo kwao azae. NDO MAADILI GANI HAYO SASA? NDO DINI ZINAVOTAKA HIVO MTU AZAE HOVYO HOVYO?
Good kumbe wajua anavopenda kuongelewa hata hizi kelele za mimba ni mwendelezo wa kutaka kuongelewa, we unamsemea asizae ila ye anataka kuzaaa yani anataka mnooooooo
Ishhhh sasa mtu aandike boooonge la gazeti kutuhabarisha anataka mtoto "Oooh you guys don't know kiasi gani nahangaika usiku na mchana kupata mtoto bla bla bla"Umeingia rohoni mwake? WALA HATAKI KUZAA, ILI MJE MUMSEME KAZALISHWA KAACHWA? Hahahaaaaaaaaa! Maana hata mimi nitakuwa sina la kumtetea. IMEKULA KWENU, HAZAI NGOOOOOO MPAKA NDOA!
Ahsante kwa kusaidia kucomfirm kumbe hana mimba make huu umbea hadi warumi umemshindaWewe ndo huongelei wangapi, MIMI NAONGELEA JAMII KWA UJUMLA, na kijamii KUTOA MPAKA WAKE ZA WATU WANATOA ZA WAMAUME ZAO WAKIKOSEA MAHESABU YA KIUCHUMI. Hio yote kujenga familia imara, HAHAHAAAAAAAAAA!
Ishhhh sasa mtu aandike boooonge la gazeti kutuhabarisha anataka mtoto "Oooh you guys don't know kiasi gani nahangaika usiku na mchana kupata mtoto bla bla bla"
We uje umsaidie kukanusha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nicheke mie
Alafu anarudia rudia kujiita mtu wa Mungu sijui miungu!!!!!!!!!!!!!Eti kama ana mimba akaitoe fasta,ushauri kuntu huu??please
AhsanteHana mimba hawezi kuwa level moja na WAZAAA OVYOOOO, common women wanaozalishwa zalishwa hovyoo WANAHARAMU
Huyu wema si ndo yule alienda kurusha matusi ya nguoni kweny office za Global publishers? Au ni yule alirekodiwa akiwapiga na kuwatukana house workers wake?...ndo mfano wa kuigwa?
Hahahaaaa, poa bidada. Ila ulivyosema kama ana mimba akaitoe sikuungi mkono hata kidogo.Mimi mtu wa Mungu nawakumbusha mambo yenu ya WANAHARAMU hata kama hamtaki! HAHAHAAAAAAAAA!
Hahahahhahahahha mbavu zanguu loohUjue hata Idris kwa sasa anabemendwa, Diamond pia alibemendwa vile vile...... Wabemendwe maana hakuna namna
HahahahahHa kisa kwako kunaungua basi unaconcludi na kwangu kunateketea hahahah,basi tuassume ni kweli mana hamna namna na hzi assumptionWa kuoa atajulikana akipatikana kama atavojulikana WA KUKUOA WEWE, NA WA KUNIOA MIMI! Usishupalie wa KUMUOA MWENZIO WAKATI WA KUKUOA WEWE RAMANI HUNA. Hahahahaaaaaaaaaa!