Wema Sepetu anavyomdekea Idris Sultan chumbani

Mi naogopa watoto wetu wasije iga hiyo Sauti na mfumo wa kuongea wakifikiri ndio aina ya kuongea ukitaka kitu maana watoto wa siku hizi wanakopy na kupest kama kilivyo.
Kama anaigiza basi mwanao hata pata shida na hiyo sauti mkuu hiyo sauti ni madini
 
Vitu vingine bana teh anafanya mwingine ila aibu unahisi wewe. Mi nikiangalia hii clip naona aibu asee ha ha ha ha ha
sio wee pekeyako unayesikia aibu yaani wote tunaaibika yaani shida kwelikweli huyu dada sijui kashushwa sio mtanzania ana mambo kweli
 
Sio mnyaturu huyo....ni MNYAMWEZI
Mnyamwezi wa singida?

Yaani sio siri nimejikuta nikiirudia kuangalia clip hii na kucheka sanaaa nashindwa kujua kuwa ni igizo, utani au reality. Hahaha Wema bana...!!!
 
Nadhani dua na sala zinaanzia penye uchumba na kuendelea mpaka kufika huko penye malezi umeandika jambo la msingi sana kuna wakati unawaangalia mabint zako unabaki kunyanyua uso juu kumuomba mola.
Huyu bint anapenda kuwa midomoni kwa watu kama mate wizi sio kushika mtutu tuna majizi mengi wala hayatumii nguvu kwiba aah dunia hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…