Wema Sepetu ni mmoja kati ya wasanii wakali wa filamu ninayempenda kutokana na jinsi anavyoigiza.
Kutokana na hali hiyo nilimfuatilia kupitia ukurasa wake wa f/b hatimaye tukafahamiana.
Wema ni mcheshi na mkarimu;kwa muda wa miezi kumi tangu nifahamiane naye tumefanyiana mema mengi,lkn mara hii kazua mpya;ananitaka niwe mpenzi wake wa siri na tayari amenipa pete eti ya uchumba bubu.Anajua wazi kuwa nina mchumba ambaye tunatarajia kuoana mapema mwezi wa pili lkn yeye ananibembeleza tuwe tunalalana;natamani nikubali kum-do japo kwa mara moja lkn namwogopa kwa sbb simwamini kiafya ukizingatia ametembea na watu kibao wakiwemo kanumba na diamond,nachelea afya yangu.
Nimfanyeje rafiki yangu huyu? msaada tafadhali.