ayubumvungi Member Joined Apr 29, 2013 Posts 8 Reaction score 0 May 4, 2013 #21 We siunajua mapenzi yamekua gazeeti leo unasoma kesho zamu ya mwenzio kaza mwendo jomba
Angelicious JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 869 Reaction score 499 May 4, 2013 #22 kuna ubaya wowote?
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 May 4, 2013 #23 Muuza Sura said: Izzo siyo sharo!smart gangstar yule mnyamwezi!halafu watoto wazuri anawapasua sema ndo ile kimyakimya Click to expand... Jamaa HB kinoma,halafu hiphop sana.Angekuwa anabana pua duh angewatafuna sana
Muuza Sura said: Izzo siyo sharo!smart gangstar yule mnyamwezi!halafu watoto wazuri anawapasua sema ndo ile kimyakimya Click to expand... Jamaa HB kinoma,halafu hiphop sana.Angekuwa anabana pua duh angewatafuna sana
Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,353 May 7, 2013 #24 Mkare_wenu said: Jamaa HB kinoma,halafu hiphop sana.Angekuwa anabana pua duh angewatafuna sana Click to expand... last weekend kanipiga nusu uwanja coco!utaratibu ulivurugika alikuja na twiga mmoja hivi wa duniani mtoto kasimamia kucha halafu hajulikani hapa mjini!babako full kujihandsamisha ili mtoto aniwakie ila mtoto sana tu kwa mnyamwezi Bizness
Mkare_wenu said: Jamaa HB kinoma,halafu hiphop sana.Angekuwa anabana pua duh angewatafuna sana Click to expand... last weekend kanipiga nusu uwanja coco!utaratibu ulivurugika alikuja na twiga mmoja hivi wa duniani mtoto kasimamia kucha halafu hajulikani hapa mjini!babako full kujihandsamisha ili mtoto aniwakie ila mtoto sana tu kwa mnyamwezi Bizness
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,234 Reaction score 26,754 May 7, 2013 #25 adakiss23 said: Uzuri wa huyu bi dada si mchoyo ukiomba unapewa. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... sasa wewe nenda ndo uone kama utapewa....... unadhani hizo big G anagawa tu,Sepetunga anagawa kwa akili wewe
adakiss23 said: Uzuri wa huyu bi dada si mchoyo ukiomba unapewa. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... sasa wewe nenda ndo uone kama utapewa....... unadhani hizo big G anagawa tu,Sepetunga anagawa kwa akili wewe
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,874 Reaction score 5,076 May 7, 2013 #26 Dada yetu ana WEMA WA SEPETU, halichagui halibagui...kokoto,mchanga, saruji, SAMADI.....................iwe ya kitimoto inazoa.
Dada yetu ana WEMA WA SEPETU, halichagui halibagui...kokoto,mchanga, saruji, SAMADI.....................iwe ya kitimoto inazoa.
R Rubuye123 JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,379 Reaction score 1,946 May 8, 2013 #27 Kivumah said: ..Ni sharo mmoja tu hivi. Niajeee M-chuga?? Click to expand... dah!nilikuwa na wasiwasi ungemponda dogo.....ila sio sharo yule chalii bana! ila kwa wema naona dogo kama kapotea hivi!!?......sijui lakini bana,maisha yake haya!
Kivumah said: ..Ni sharo mmoja tu hivi. Niajeee M-chuga?? Click to expand... dah!nilikuwa na wasiwasi ungemponda dogo.....ila sio sharo yule chalii bana! ila kwa wema naona dogo kama kapotea hivi!!?......sijui lakini bana,maisha yake haya!
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 May 8, 2013 #28 izo business ndio namsikia wema yeye anapendaga wasanii tu ?