hongera yake mungu amzidishie dada wa watu
Bora nisiongee mana ntamuudhi Mungu.
Hivi nini maana ya dini?? Siku nikipata maana ya dini ntakua muumini nafkiri
kwa mm ninavyojua dn ni mfumo kamili wa maisha ya mwanadam ndo maana hata vitabu vitakatifu vifunza muumn uishi vp.
Dini ni saccos za kiimani ambazo hukuzwa na sadaka za waumini na kuwarahisishia maisha viongozi wa makanisa hayo.ndomyana
Dini ni saccos za kiimani ambazo hukuzwa na sadaka za waumini na kuwarahisishia maisha viongozi wa makanisa hayo.ndomyana