Welcome Mwenge Catholic University {MWECAU}

Nawapongeza sana mliopangwa MWECAU make mtakuwa mnashare ideas na wanafunzi wenzenu wa vyuo vya MOCU, KCMC,SIMMUCO, SINGACHINI,MWEKA, MSINGA Hv ni baadhi ya vyuo tu vinavyoizunguka MWECAU
 
Hongera mtoa mada kwa kuwa msaada kwa wadau humu, ubarikiwe!
 
Nawapongeza sana mliopangwa MWECAU make mtakuwa mnashare ideas na wanafunzi wenzenu wa vyuo vya MOCU, KCMC,SIMMUCO, SINGACHINI,MWEKA, MSINGA Hv ni baadhi ya vyuo tu vinavyoizunguka MWECAU

kaz kwao,
 
Mwecau ni sehemu sahihi sana ya kupata elimu na makuzi ya kitaalum karibuni sana chuo tarehe 28/10/2015.
 
Sorry Kk iv wale we edu in nsience wanaongeza tsh ngapi????!!!!! Per year
 
Umelipia tangazo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…