Wekeza kwenye hiki kiwanja Chanika

Wekeza kwenye hiki kiwanja Chanika

kind lady

Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
42
Reaction score
5
Kina ukubwa wa nusu eka kipo Chanika mtungini karibu na shule ya secondary chanika.
Bei 12mil
0784198482.

Ukiwekeza kwenye ardhi hutojutia hela yako baada ya mwaka mmoja utakiuza mara mbili ya pesa uliyonunulia.

Karibuni
 
kwani wewe hutaki kuuza marambil ya hii bei baada ya iyo miaka 2?
 
kwani wewe hutaki kuuza marambil ya hii bei baada ya iyo miaka 2?

Nina shida na hela ambayo haiwezi kusubiri miaka miwili wala mmoja hata hivyo hata mimi nakiuza mara nyingi ya bei niliyonunulianiliyonunulia miaka mitano iliyopita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom