Juma sele Member Joined Nov 12, 2020 Posts 54 Reaction score 24 Nov 24, 2020 #1 Kuna baadhi ya wanafunzi tulichaguliwa na TAMISEMI Kwenda chuo lakin hatuku verify kutokana na kutokua na uelewa na changamoto nyng za kimaisha, nn kwa namna gani tunaweza fanya kutudisha nafasi zetu kwa huu mwaka
Kuna baadhi ya wanafunzi tulichaguliwa na TAMISEMI Kwenda chuo lakin hatuku verify kutokana na kutokua na uelewa na changamoto nyng za kimaisha, nn kwa namna gani tunaweza fanya kutudisha nafasi zetu kwa huu mwaka
Idrisa1510 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 274 Reaction score 424 Nov 25, 2020 #2 Kama huku verify huwezi kupata nafasi hiyo. Kikubwa subili mwaka wa masomo mwingine uombe upya