Kuna msemo,ukitaka kumficha muafrica kitu basi kifiche ktk kitabu,kuna watu ukiwauliza Kikwete amesafiri mara ngapi kwenda nje ya nchi atakupa jibu ila ukimuuliza umesoma vitabu vingapi toka mwaka uanze,hatojibu,ila suala la ufisadi etc ,let us change our selves ndio tuwabadilishe wengine,Big up lady