B Byendangwero JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 871 Reaction score 56 Dec 26, 2010 #1 Hivi majuzi tuliletewa habari nzuri juu ya kuanzishwa kwa weeklink Tanzania itakayotoa fursa ya kuweka wazi maovu yote katika jamii ya watanzania. Nauliza hiyo weeklink imepotelea wapi, au ni ya wateule kidogo?
Hivi majuzi tuliletewa habari nzuri juu ya kuanzishwa kwa weeklink Tanzania itakayotoa fursa ya kuweka wazi maovu yote katika jamii ya watanzania. Nauliza hiyo weeklink imepotelea wapi, au ni ya wateule kidogo?
Ally Msangi JF-Expert Member Joined Jun 29, 2010 Posts 610 Reaction score 124 Dec 26, 2010 #2 hii ni mpya kwangu cja skia
Rungu JF-Expert Member Joined Feb 23, 2007 Posts 3,932 Reaction score 1,727 Dec 26, 2010 #3 weeklink, duh!
Geza Ulole Platinum Member Joined Oct 31, 2009 Posts 76,071 Reaction score 107,589 Dec 26, 2010 #4 hehehe si mumrekebishe wajameni ni wikileaks na sio weeklink au weaklink au weakleak
B Byendangwero JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 871 Reaction score 56 Dec 26, 2010 Thread starter #5 Nashuru kwa marekebisho hayo, lakini swali langu bado liko pale pale; hiko wapi hiyo wikilink iliyo anzishwa?
Nashuru kwa marekebisho hayo, lakini swali langu bado liko pale pale; hiko wapi hiyo wikilink iliyo anzishwa?
M matawi JF-Expert Member Joined Mar 29, 2010 Posts 2,052 Reaction score 242 Dec 26, 2010 #6 Mbona jf inatosha sana ina kila kitu hiyo wikileaks ya nini? ni sawa na dawa za maumivu kama panadol, panaway, sheladol. dawanol nk ni kitu kilekile
Mbona jf inatosha sana ina kila kitu hiyo wikileaks ya nini? ni sawa na dawa za maumivu kama panadol, panaway, sheladol. dawanol nk ni kitu kilekile
Q Quinine Platinum Member Joined Jul 26, 2010 Posts 25,576 Reaction score 62,266 Dec 27, 2010 #7 Niko kwenye hatua za mwisho kukamilisha weekendleaks
Yericko Nyerere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2010 Posts 17,027 Reaction score 20,518 Dec 27, 2010 #8 Quinine said: Niko kwenye hatua za mwisho kukamilisha weekendleaks Click to expand... Hongera sana wataalam wa kupasua madimbwizi ya serikali na vigogo yaliyojificha yaliyojificha tupo begakwabega nawew
Quinine said: Niko kwenye hatua za mwisho kukamilisha weekendleaks Click to expand... Hongera sana wataalam wa kupasua madimbwizi ya serikali na vigogo yaliyojificha yaliyojificha tupo begakwabega nawew