Weekend hii

Ewaaaaaaa.....nikipata double times 8ya huyo mnyama hapo pembeni,,wallah siku yangu itakuwa konki zaidi ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
si ukanunue unywe au unataka kuipataje.......by the way MBINU HII
 
si ukanunue unywe au unataka kuipataje.......by the way MBINU HII
Unakionea mbali chief!!safi sana.and by the way...nilikunywa nilichokitamani kwenye sredi
 
inabidi tuongee tuone tumaliza vipi huu upweke
Sasa wewe umejua kucheza na karata ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Kutaka kulewalewa mpka kuondolewa upweke๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚
 
Sasa wewe umejua kucheza na karata ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Kutaka kulewalewa mpka kuondolewa upweke๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚
Today ukiitumia nami itakua sio mbaya... Righ? Fungua pm tu
 
Mbn kama tunakaribia kufanana kwenye hizo sifa aiseeh...

Itabidi mwisho wa mwezi nikatize pale Mohas hakuna namna..we only livu once [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Pia tafuta Me awe anakubebisha sametimes.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ