Domain za bure ni kama vile .tk, .ml, ga n.k ambapo utatumia kwa miezi 12 yaani mwaka mmoja na kisha unaaanza kulipia. Ila unaweza badilisha unaweka t.k, kesho .ga kwa maelezo zaidi soma https://agath64a.blogspot.com/2019/09/jinsi-ya-kupata-free-custom-domain-tk.htmlNaombeni kujua jinsi ya kuhost website yangu online.
1.kupata domain ya bure na ya kulipia
2.hosting ya bure na ya kulipia
Na hosting je?Domain za bure ni kama vile .tk, .ml, ga n.k ambapo utatumia kwa miezi 12 yaani mwaka mmoja na kisha unaaanza kulipia. Ila unaweza badilisha unaweka t.k, kesho .ga kwa maelezo zaidi soma https://agath64a.blogspot.com/2019/09/jinsi-ya-kupata-free-custom-domain-tk.html
Nimeona maelezo mazuri tu ya domain so nawezaje kuupload my local host kwenye hiyo domainDomain za bure ni kama vile .tk, .ml, ga n.k ambapo utatumia kwa miezi 12 yaani mwaka mmoja na kisha unaaanza kulipia. Ila unaweza badilisha unaweka t.k, kesho .ga kwa maelezo zaidi soma https://agath64a.blogspot.com/2019/09/jinsi-ya-kupata-free-custom-domain-tk.html
Hapo nkua nimepata domain name so nawezaje kuitumia pamoja na hizi web pages zangu ikawa accessed online?Domain za bure ni kama vile .tk, .ml, ga n.k ambapo utatumia kwa miezi 12 yaani mwaka mmoja na kisha unaaanza kulipia. Ila unaweza badilisha unaweka t.k, kesho .ga kwa maelezo zaidi soma https://agath64a.blogspot.com/2019/09/jinsi-ya-kupata-free-custom-domain-tk.html
Hosting ya bure tumia 000webhost.Naombeni kujua jinsi ya kuhost website yangu online.
1.kupata domain ya bure na ya kulipia
2.hosting ya bure na ya kulipia
Sawa nitafanya hivyoHosting ya bure tumia 000webhost.
Jisajili halafu uanze ku-upload files kwenye hiyo webserver, kamilisha hilo kwanza baada ya hapo ndio uanze ku-set custom domain ya bure.
Domain nzuri ya bure ni Freenom.
DNS nameserver za 0000webhost ni ns01.000webhost.com na ns02.000webhost.com
Kama unataka huduma nzuri na quality tumia siteground au inmotion.Naombeni kujua jinsi ya kuhost website yangu online.
1.kupata domain ya bure na ya kulipia
2.hosting ya bure na ya kulipia