maria benjamin
Member
- May 16, 2013
- 22
- 1
kwa wanaohitaji kutengenezewa website,blogs,vipeperushi,na otherstationary stuffs. contact us maria@dwt.co.tz au 0715878575 .
Website hosting and Domain registration kwa 100,000/= TU.
Mfano wa kazi ambazo tushazifanya na zipo hewani ni:
WWW.CBA.HOTEL.TZ
WWW.MIC-HOTELS.COM
www.mclawrence.co.tz na nyingine nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing
Mimi nataka unifundishe hiyo web design utanichaji sh ngapi?
Ni free hosting hizi ni nn?Mbona kitu haifunguki kabisa
Au una host kwa wabongo wenzako nn?
contact me for more information au like page yetu DIGITAL WORLD TANZANIA
Ni PM kama unahitaji kufundshwa kudesign.
Ni free hosting hizi ni nn?Mbona kitu haifunguki kabisa
Au una host kwa wabongo wenzako nn?
Mwanawane hizi makitu zako hazifungui
Mdada mbona domain zote najaribu zinatimeout?
Ni free hosting hizi ni nn?Mbona kitu haifunguki kabisa
Au una host kwa wabongo wenzako nn?
right click then then click open in new window
huduma hiyo hatutoi kwa sasa
Ni PM kama unahitaji kufundshwa kudesign.
mkuu unafundishia sh ngap na uko wapi?weka mawacliano yako sio wote tuko active kweny pm