webcam ya dell latitude d620

kiloloma

Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
54
Reaction score
3
wana jf nina computer yangu aina ya dell latitude d620, je aina hii ya computer ina webcam kama inayo naomba msaada wa drivers zake maana haifanyi kazi .nimejaribu external webcam bila mafankio na nina tumia win 7 professional
 
dell d620 haina webcam kaka labda kama unataka tumia external webcam hapo sawa lakini yenyewe kama yenyewe haina webcam
 
Sasa we ndio unayo af unatuuliza sisi ebu fafanua wakusaidie
 
nimejaribu external webcam inaonyesha kiza tu na ninatumia win 7 lkn webcam hiyo kwenye win xp inaonyesha clear naomba msaada wenu wana jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…