Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 969
- 844
Aksante Mkuu nalifanyia Kaz hilo.Nimecheki ipo poa ila jaribu kucheza nayo kidogo kwenye css ili uwezo kuzisogeza related articles Chini ya post iliyofungu na user.
Poa mkuu nalifanyia Kaz hilo Css ndio Kizalugha - umeandika "menu","heading","read more"n.k kwa kingereza na kiswahili mfano read more kwenye contents za kiswahili ,umelenga wasomaji wa blog yako wawe na uelewa wa lugha zote mbili?
nashauri utumie "multi language option" kama mswahili anachagua kiswahili na kama wa kingereza hivyo hivyo.
css - rekebisha issue kama hover,image mfano : New audio music Sumu - FID Q- download | Mtokambali image siyo visible kwenye browser nayotumia mozilla.
machache niliyo yaona kwa haraka mkuu..
Thanks Brother! hakika umeliona Hilo na nitalifanyia kazi na nikueleze tuu mimi sio web developer/disigner mzuri maana bado najifunza na ukitegemea am a medical personnel. Aksante BrotherKazi yako ni nzuri ila kuna vitu ni vyema ukavifatilia
1) User interaction
2) User experience
- No contact form. ni muhimu kukawa na contact form badala ya mteja kukopi email yako na kukutumia ujumbe.
- Katika site yako chini katika footer kuna neno "contact" lakini linki ile haiendi katika contact page
- Huu ni ushauri, kama utakuwa na kamfumo kadogo katakawezesha visitors kupiga kura juu ya jambo fulani itaongeza interactions.
Kaka ni hayo tu kwa leo. Ushauri huu ni kutoka Tanzania Website Design
- Kuna tatizo la picha kuchelewa kuload au kutokuload kabisa na hii husababisha kuwe sehemu kubwa nyeusi kabla ya posti (ambayo ingepaswa kukaa picha), pia kuwe na sehemu ya wazi kabla na baada ya posti ambapo umeweka matangazo, na pia kufanya related post kuonekana zipo mbali kwa kuwa kuna picha za related post hazionekani
- Kuna ile sehemu ya chini ya menyu ambayo ina wanawake. Hii ingekuwa wazi hivyo kwa home page tu ingekuwa ni sahihi lakini kuifanya hadi katika page za ndani inakuwa ni wastage of resources na kushindwa kupata atensheni ya visitor kwa urahisi anapotembelea page za ndani.
- Katika icons za social networks ondoa vimeo na youtube kama bado hujaandaa hizo page.
- Tazama favicon zako inaonekana zipo mbili tofauti. Hii inapunguza nguvu ya branding
Brother Hii ilitokana na Theme Kuja na Feature ijulikanayo kama "Lazy image load" ambayo inafanya Picha Kuonekana baade kabisa ama kutoonekana mara baada ya page kumaliza Ku-load. Good thing ni kwamba nmekwisha Disable hiyo Feature na Problem solved.Kuna tatizo la picha kuchelewa kuload au kutokuload kabisa na hii husababisha kuwe sehemu kubwa nyeusi kabla ya posti (ambayo ingepaswa kukaa picha), pia kuwe na sehemu ya wazi kabla na baada ya posti ambapo umeweka matangazo, na pia kufanya related post kuonekana zipo mbali kwa kuwa kuna picha za related post hazionekani
Problem solved now Kila Kitu kiko in swahili Language. Aksante Kwa Ushauri wako Bro. One Love.lugha - umeandika "menu","heading","read more"n.k kwa kingereza na kiswahili mfano read more kwenye contents za kiswahili ,umelenga wasomaji wa blog yako wawe na uelewa wa lugha zote mbili?
nashauri utumie "multi language option" kama mswahili anachagua kiswahili na kama wa kingereza hivyo hivyo.
css - rekebisha issue kama hover,image mfano : New audio music Sumu - FID Q- download | Mtokambali image siyo visible kwenye browser nayotumia mozilla.
machache niliyo yaona kwa haraka mkuu..