UNAJUA KU HACK?????Habari!, ndugu wana JF natumai wote ni wazima.
Mimi ni graduate niliyemaliza Bsc Computer science , nime base kwenye web development baada ya kuona uwezo na mapenzi niliyonayo katika upande huo.
Skills nilizonazo :-
1. Html, CSS
2. Javascript
3. PHP & laravel framework
4. Java
5. Python & Django framework
Lengo la uzi wangu nikukaribisha kazi zote zinazohusiana na web development kutoka kwenu mfano kama zifuatazo :-
1. Kutengneza website, blog, e-shop, system software etc
2. Troubleshooting website or system
3. Maintain and Update website or system
4. Monitoring traffics
5. Na nyingine mlizonazo
NB: kama huna kazi yoyote inayohusiana hapo lakini naweza kuifanya usisite kunijuza kikubwa iwe ya halali ili niweze kujikimu kimaisha ndugu yenu.
Ahsante!.
Njoo PM nikupe kazi mkuuHabari!, ndugu wana JF natumai wote ni wazima.
Mimi ni graduate niliyemaliza Bsc Computer science , nime base kwenye web development baada ya kuona uwezo na mapenzi niliyonayo katika upande huo.
Skills nilizonazo :-
1. Html, CSS
2. Javascript
3. PHP & laravel framework
4. Java
5. Python & Django framework
Lengo la uzi wangu nikukaribisha kazi zote zinazohusiana na web development kutoka kwenu mfano kama zifuatazo :-
1. Kutengneza website, blog, e-shop, system software etc
2. Troubleshooting website or system
3. Maintain and Update website or system
4. Monitoring traffics
5. Na nyingine mlizonazo
NB: kama huna kazi yoyote inayohusiana hapo lakini naweza kuifanya usisite kunijuza kikubwa iwe ya halali ili niweze kujikimu kimaisha ndugu yenu.
Ahsante!.
Karibuni sana, wote mnakribishwaHabari!, ndugu wana JF natumai wote ni wazima.
Mimi ni graduate niliyemaliza Bsc Computer science , nime base kwenye web development baada ya kuona uwezo na mapenzi niliyonayo katika upande huo.
Skills nilizonazo :-
1. Html, CSS
2. Javascript
3. PHP & laravel framework
4. Java
5. Python & Django framework
Lengo la uzi wangu nikukaribisha kazi zote zinazohusiana na web development kutoka kwenu mfano kama zifuatazo :-
1. Kutengneza website, blog, e-shop, system software etc
2. Troubleshooting website or system
3. Maintain and Update website or system
4. Monitoring traffics
5. Na nyingine mlizonazo
NB: kama huna kazi yoyote inayohusiana hapo lakini naweza kuifanya usisite kunijuza kikubwa iwe ya halali ili niweze kujikimu kimaisha ndugu yenu.
Ahsante!.
Samahani Kiongozi unaweza kunielezea kidogo nawezaje kunufaika na block chainMkubwa kama unaweza wekeza sana muda wako kwenye teknolojia mpya ya block chain hayo mawebsite na maablog kwa kiwango kikubwa yameanza kupitwa na wakati maana kwa sasa hata mtu asiye na ujuzi wa programming anaweza kuyafanya
Utaweza kunufaika maana developer wa hizi vitu ni wachache sana halafu hii teknolojia ndio kwanza inaanza kupata mass adoption kwahiyo kama ukiwekeza muda vizuri kwenye kujifunza hii tech lazima tu itakutoaSamahani Kiongozi unaweza kunielezea kidogo nawezaje kunufaika na block chain
nitumie na mimi pm kuna kazi ya kutengeneza website nataka nikupeNimeshakutumia