Karibu mkuu ni biashara gani unafanya ? naomba unielezee kidogo ili nijue ni website ya aina gani unahitaji ?Habari zenu wadau nahitaji website designer kwa ajili ya biashara yangu. Natka kujua gharama zao zikoje?
Karibu mkuu ni biashara gani unafanya ? naomba unielezee kidogo ili nijue ni website ya aina gani unahitaji ?