Naombeni msaada! mm ni begginer! nimetengeneza system yangu ya kuingiza data kwenye database yangu! nimetumia html, css na php ! nachohitaji ni;
1.hizi file nilizonazo nizifanye kua kama setup niweze kuzirun kwenye pc yangu ili iwe ngumu hata kufutika.
2. iwe kama application ambayo naweza mpatia mtu kama setup na kurun kwenye computer nyingine.
so nafanyaje wakuu
Sent using
Jamii Forums mobile app