kwahiyo kila namba ina bei yake...?
mf. Code namba yoyote labda 0767, 0765, 0764, 0762 nk. ifatiwe na namba hizi a) 123456 b) 789000 c) 000000 d) 000001 e) 000002 f) 005400 g) 006500 nk
una weza tusaidia mchanganuo wa bei au gharama kwa hizo namba hapo juu...