Louis Mahali
Member
- Mar 7, 2022
- 15
- 15
what kind of proposal mkuu?Proporsal mnafanya?
Ndio Mkuu na tunaandika ProposalProporsal mnafanya?
Ndio Mkuu na tunaandika Proposal
Nitakutafuta mkuuNdio Mkuu na tunaandika Proposal
Karibu Sana Mkuu lakini pia Kama itawezekana naomba ujaribu kushareTangazo kama hutojali.Nitakutafuta mkuu
proporsal ni kitu gani hicho?what kind of proposal mkuu?
proporsal???Proporsal mnafanya?
typing error "Proposal"proporsal???
PAGEPATROL
Pagepatrol Tunatoa huduma za Editing, Proofreading And Translations.
Editing and proofreading in terms of.
Research paper,Journals,Thesis,Articles, contract,Essay writings etc.
Translation in terms of;
Germany, English,French and Swahili.
Gharama zetu ni kwa bei nafuu Sana.
Editing and proofreading @ page Tzshs1000/=
Translation @ page Tshs 10,000/=
Pia Tunatoa huduma za kuandika
Barua za aina zote Kama vile
Application letter, scholarship letters etc. Kwa gharama nafuu kabisa Tshs 15,000/=
Pia Tunatoa huduma za kuandika CV kwa gharama nafuu Kabisa 20,000/=
Tunapatikana :
Chuo kikuu Cha CBE dar es salaam
Bibi titi Road
Kituo Akiba ( unapita mnazi mmoja )
Tupo Mkabala na chuo kikuu cha DIT
Kwa mawasiliano
WhatsApp 0767316144
Telephone no: 0714316144/0784507548
Karibuni Sana wote mnakaribishwa
Ndio Mkuu karibu Sana tukuhudumieKwahiyo mmesema mnapatikana chuo kikuu cha CBE? Bibi titi Road, sio?
Cv standard average ni 2 pages ila sio mbaya Cv ikienda mpaka 3 pages, kwa sababu inazidi kuelezea ujuzi wako zaidi Tena kwa kueleweka zaidi.CV mkiandika average inakua inapage ngapi?
Asante.Ndio Mkuu karibu Sana tukuhudumie
Lakini pia naomba unisaidie ku copy na kushare Tangazo langu Ili liwafikie watu wengi zaidi na tuzidi kuwahudumia watu wengi zaidi. Usisahau kunitagg Louis Mahali Kama kutakuwa na any query.nashkuru sana Mkuu na Mungu akubariki ✌️🙏Asante.
Hahahaha.Kwahiyo mmesema mnapatikana chuo kikuu cha CBE? Bibi titi Road, sio?
Mkuu what's FunnyHahahaha.