we mwana weeeee

Nambe

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
1,451
Reaction score
534
habar za mwaka mpya wapenz.......

Jaman watoto hawa,,,,,,,,,,,,, mwe.......shigha du....
Niko mkoani huku ukweni karibu mwez na visiku sasa, hapa nyumbani, kuna kawifi kangu ndio kwanza kana miaka 14, ndio kanaingia kidato cha pili mwaka huu.......................
Tangu nimekuja nyumban hapa kabinti kamebadilika, si kaongeaji tena wala kachangamfu kama mwanzo, kutwa nzima kamejifungia chumban, kanawah kulala wakat mwanzon kalikuwa kanakesha kwenye luninga,,,binafsi nikaona si kawaida nikaamua kufanya uchunguzi binafsi, siku hyo kameenda tuition naingia room nakumbana na card ya xmas na za mapenz hz, nilipoziangalia vzur zilikuwa za kutumwa kwa mpenz ambaye yuko mkoa mwingine, kwa maana hiyo huyo mupenz ni mwanafunz mwenzie.....
Nikazificha zile card, alivorud akakuta hazipo aka-mute tu......
Sikumuuliza kitu, zikapita kama siku tatu hv akatumwa na bi mkubwa ghafla mie nkazama room, kucheki chini ya mto naona simu nikaichukua, hakuuliza ila alishtuka mbaya......mesage nlizokuta humo sasa, simu nlizopigiwa usiku dah, dogo ana midume kama mitatu hivi, halaf sasa anaomba mpaka hela na anatumiwa....nikachokaa .....

Dogo kwa jins anavyojiamin kesho yake tu akarenew line yake akawa anatumia kwa dada wa jirani, huyo dada hayupo anatumia ya bimkubwa wake bila mwenye simu kushtukia, nimemfatilia sijamwambia wala kumwonyesha ishara yoyote kuwa najua,
Bado sijamwambia mamake, nilitaka nimkanye mwenyewe lakini naona dogo ashakuwa proffessional.......
kwa hali hii haki ya nani kazi ipo na hawa watoto..................
 
aah!
Wewe unamkombea Mizaga Yake, Ndo Kumkanya Gani Huko?
mpe vitu vyake banah, Ulivyofanya Sijapenda Hata Sekunde Moja!
 
Mwanzon kweli nlitaka kuongea nae bila kumwambia mamake, na vile vitu nilivichukua kama ushahd tu incase akabisha, unajua nlijua ndio anaanza lakin inaonekana ameshaazoea na hata shule ana simu na anaitumia huko kuwasiliana na hao jamaa zake, nlichoamua ni kuvichukua hivyo vitu na kumpa mamake na kumweleza hali halisi ili amshughulikiea mwenyewe, binafsi amenizid uwezo....
Wewe unamkombea Mizaga Yake, Ndo Kumkanya Gani Huko? mpe vitu vyake banah, Ulivyofanya Sijapenda Hata Sekunde Moja!
 
Kwani wewe yanakuhusu nini?? Mjue watu wengine mnaboa kweli,,,
 
Subiri atakapoiomba na ya kwako aitumie. Huwezi shindana na watoto wa siku hizi. Mi mdogo angu nilipoona ameanza mambo hayo nikampiga pindi la human biology mpaka akaelewa. Sikumwambia kwa nini namfundisha ila kuna maeneo niliweka msisitizo mkubwa. The way nilivyomuweka karibu kipindi kile mpaka leo huwa haoni aibu hata kuniuliza mambo yanayohusu k yake na other life events. Mambo anayoniulizaga muda mwingine hata mgegedo wangu ulikuwa hauwezi kuniuliza. Kosa kubwa linalofanyika na wazazi wa siku hizi ni kukaa mbali na watoto wao kipindi wanapopevuka na kusahau kwamba maumivu watayapata wao. Wamama wa zamani hata kama walikuwa hawana elimu walikuwa na sessions na mabinti zao japokuwa zilikuwa zinatolewa kwa vitisho.
 

utaumia zaidi utakapoona mama yake amempatia vitu hivyo bila kumuuliza chochote. Kuna laana zingine hata kuzielezea in genetics inakuwa ngumu. Unakuta watoto wana tabia za ajabu ajabu ukiulizia unaambiwa baba/mama alikuwa hivyo. Kuna mzee namfahamu alikuwa kitombi ile mbaya katika maisha yake mpaka anakufa at 80 alikuwa anakula mingo. Watoto wake bana, loh!
 
Mama yangu mbegu nyingine tabu kweli kweli mwezi umefika ukweli tayari unadokoa phone ya m2 alikua anatumia sikuzote ? Tayari unapapasa chini ya mto? Wewe ulianza ukiwa na umri gani? Huyo mama asipokaa chonjo naye utasoma sms zake upeleke kwa mumewe mwishowe utimuliwe bure. Ingekua kwe2 tayari ungekua kwenu.
 

Mkuu usishange wakayamaliza kirahisi na mama yake, na wewe utaonekana kiherehere
 

hivi mama anaishi na mwanae hadi kidato cha pili afahamu kuwa ana2100 sm wewe kufika kawiki 3 tu tayari . Vi2 vingine mnajitakia wenyewe .ukifika mahali kaa kama wenyeji walivyo .
 

Hahahahah Ameipata!
 

Kwa kweli hata mimi nimemshangaa sana huyu mleta mada
 
Mama yangu mbegu nyingine tabu kweli kweli mwezi umefika ukweli tayari unadokoa phone ya m2 alikua anatumia sikuzote ? Tayari unapapasa chini ya mto? Wewe ulianza ukiwa na umri gani? Huyo mama asipokaa chonjo naye utasoma sms zake upeleke kwa mumewe mwishowe utimuliwe bure. Ingekua kwe2 tayari ungekua kwenu.
 
Ila hapa tunajifanya kushangaa tu...wakati karibia siye wote bibi zetu waliolewa wakiwa wadogo hata mbegu kifuani hazijaanza kumea...
Tena zamani hizo walikuwa wakisema, "mwache aende atakulia kwa mumewe"...
 
Ila hapa tunajifanya kushangaa tu...wakati karibia siye wote bibi zetu waliolewa wakiwa wadogo hata mbegu kifuani hazijaanza kumea...
Tena zamani hizo walikuwa wakisema, "mwache aende atakulia kwa mumewe"...

Uwii kama ingekua mpaka leo ipo hiyo ningechukua kamgegedo kabichi miaka 10
 
Mwanangu Bhululu acha kudanganyana. Angekuwa kibaka kama wewe asingesema. Nadhani mleta mada anataka kukisaidia hicho kichangu uchwara kilichoanza mapema. Wenye mawazo msaidieni badala ya kumshangaa maana kesho kama huna watoto utakuwa nao na watayafanya haya utaumia. Nadhani tatizo hapa ni maadili kwa jamii ya sasa ambayo muungu wake ni vitu. Wazazi wengine wanakuwa na matatizo yao kiasi kutowajibika kuwalea hata kuwakagua watoto wao. Kama ni kasichana toka kwenye yale makabila ya nenda utumie kinu kujenga nyumba mamaangu ndiyo usiulize. Wengi wanaweza kukushangaa kwa vile katoto kanaingiza pesa hata kama ni chafu. Naona huruma siku miwaya ikikatembelea au kakaolewa na mambo yake kugundulika. Umalaya huu umeponza wengi hasa baada ya kuolewa na mambo yao kufichuka.
Kwa kweli hata mimi nimemshangaa sana huyu mleta mada
 
Uwii kama ingekua mpaka leo ipo hiyo ningechukua kamgegedo kabichi miaka 10

Nenda vijijini huko baadhi makabila wanaendeleza huo utamaduni...Unajitwalia kigoli wazazi wamcheza ngoma,unapewa binti ukamkuze.
 

Nitamuombea nikienda kanisani..
 
usije anzisha mtiti na wifi yako tu......ingawa unalotaka kulifanya ni jambo la kheri
 
Father of All Mkuu huyu jamaa ninamshangaa kwasababu, hakai hapo yeye ni mgeni hivyo hawezi kubadili tabia ya huyo binti kwa huo mda mfupi, huyo binti inaonekana amekubuhu hiki kizazi ni balaa, hebu fikiria pamoja na kuchukua mawasiliano yake lakini bado alikuwa anamzidi ujanja.Yeye mwenyewe anakiri huko shuleni bado anawasiliana.Hakuna anaefurahia tabia ya huyo binti.
 
Siku utakayoulizwa ulifuata nini chumbani kwa wifi yako, utoe jibu la kueleweka la sivyo utakuwa umejitafutia msala.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…