Kwanini hakuna steps zinazochukuliwa baada ya kukamata hizo ballot papers zimetikiwa magufuli.. π
Labda hizo zilizokamatwa ni baadhi tu..
We can't put a blind eye to this like nothing happened.. π±
Kwanini hakuna steps zinazochukuliwa baada ya kukamata hizo ballot papers zimetikiwa magufuli.. π
Labda hizo zilizokamatwa ni baadhi tu..
We can't put a blind eye to this like nothing happened.. π±
Kwenye Siasa kuna propaganda za kila aina na hiyo ni moja yake. Viongozi wako wanajaribu kuweka sintofahamu kwa nchi ili waungwe mkono na wasiojielewa. Amkeni. Tunasubiti kumuapisha JPM.