Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,634
- 6,373
Ngoja wajeNice weekend kwa wala bata,
Bata la leo ni batani Tabata kinyerezi yaani WCB wanajaza watu hatari na bonge la stange aisey.....
Tuacheni team Dimond ni muha alisi anaejua namna ya kutafuta hela kwakuongeza thamani ya biashara.
Leo nimeahughudia uwezo mkubwa wa wasanii wetu kujiamini na wakafikia lengo maana hii show ni kama kuna msanii mkubwa ana pafomu.
Kiba akubali ajifunze kwa Mond how can he make his business worth.
Sina Team.
Mimi ni mzalendo.!!
Nshasema sina teamNgoja waje
Saw a ebu tupia kwanza picha ili tuoneNshasema sina team
Team kibamia Poleni.Acha uongo wewe watu tuko Watsap Hapa tunakula via uko kuiteka kinyerezi kumetoka wapi,kwa taarifa yako kama wewe Ni mgeni mji huu,watu Wa kinyerezi hatunaga shobo mdundo,kama wamejaza,wamejaa wakuja tu.
Mnanikera sana nyie mnaetumia mgongo wa Mondi kumtaja Kiba.Nice weekend kwa wala bata,
Bata la leo ni batani Tabata kinyerezi yaani WCB wanajaza watu hatari na bonge la stange aisey.....
Tuacheni team Dimond ni muha alisi anaejua namna ya kutafuta hela kwakuongeza thamani ya biashara.
Leo nimeahughudia uwezo mkubwa wa wasanii wetu kujiamini na wakafikia lengo maana hii show ni kama kuna msanii mkubwa ana pafomu.
Kiba akubali ajifunze kwa Mond how can he make his business worth.
Sina Team.
Mimi ni mzalendo.!!
Eti na wewe unajikuta mjanja.Acha uongo wewe watu tuko Watsap Hapa tunakula bia uko kuiteka kinyerezi kumetoka wapi,kwa taarifa yako kama wewe Ni mgeni mji huu,watu Wa kinyerezi hatunaga shobo mdundo,kama wamejaza,wamejaa wakuja tu.
Kamera sina mzee kwann usiibuke tuu??picha plizzzz
We mjini umekuja ushakomaa na ndevu zako unataka ushandane na si tuliozalia Agha khan mijengo kila kona ya mji unasema mie wakuja ??? Usinpimie weweeeAcha uongo wewe watu tuko Watsap Hapa tunakula bia uko kuiteka kinyerezi kumetoka wapi,kwa taarifa yako kama wewe Ni mgeni mji huu,watu Wa kinyerezi hatunaga shobo mdundo,kama wamejaza,wamejaa wakuja tu.
Ka uko Dar ncheki PM nikupe tiketi ushuudiye wasafi wanavyo msafisha mtuuBwana we tupia pichaz ili tuone ka ni kweli
Eti na wewe unajikuta mjanja.
Aisee mji umevamiwa.
Kwanza tangu lini wajanja wa mji wakakaa huko kinyerezi?[/QUO
Endelea kupanga sinza ujione mjanja basi!!