Jamani nipo nafanya data analysis ila nimekumbana na changamoto hapa. Nilikua na site tatu wakt wa data collection na kuna swali lilikua na multiple responses hvyo basi nahitaji Bar chart ambayo itakua na values ya kila site na hayo majibu yake
Sent using
Jamii Forums mobile app