Reward silayo
Member
- Jun 25, 2016
- 38
- 10
Fungua grocery weka malaya wawili jaza pombe hapo uone Midume inavyomimika kutoka pande zote za nchi
Kidogo inanipa changamoto kweli especially kwenye maswala ya kiimani kuuza Tungi inanipa shida.Fungua grocery weka wahudumu wa kike wawili jaza pombe hapo uone Midume inavyomimika kutoka pande zote za nchi.
PoaNina wazo zuri ila naliuza, siliweki public
[emoji23][emoji23], bei gani mkuu?Nina wazo zuri ila naliuza, siliweki public
Bei simpo tu hata sio kubwa
Bei simple ni shilingi ngapi? FungukaBei simpo tu hata sio kubwa
30k
Lina guarantee ya muda gani hilo wazo?
Afunguke sasa.Lina guarantee ya muda gani hilo wazo?
Warranty yake je ni kipindi gani? lisipofaa 30k yetu itarudi mkuu?