msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 381
Na mbaya zaidi Anakula hadi Jicho, Inauma sanaWakati we unawaza kusaka maisha,familia itakula nini leo kuna njemba moja huko room Anamkunja mkewe style moja matata hawazi ata akimaliza hapo atakula nini ?
Kweli maisha siyo fair kabisa
Ubwege wake uko wap?[emoji23][emoji23][emoji23]
Bwege weh
Sana kakaKwa kweli inauma sana mkuu
Hata tarakimu zake sizijuiNitumie namba yako ya bank nikuwasilishie humo
Ahsante kwa kuanza kunipa cheo kabla sijakutana na shetaniHizo ni Roho mbaya anazo mke wa shetani pekee
[emoji48][emoji48][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Pasi ndefu mkuu,mlo ni saa 1730pm then siku inakuwa imepitaKitambo mkuu wewe tayari au bado?
Watu watakushangaa Zero IQ, lakini ukweli utabaki pale pale.Wakati we unawaza kusaka maisha,familia itakula nini leo kuna njemba moja huko room Anamkunja mkewe style moja matata hawazi ata akimaliza hapo atakula nini ?
Kweli maisha siyo fair kabisa inauma sana kwa kweli